Advertisements

Sunday, June 4, 2017

MTOTO ALBERT AFANYIWA SHEREHE YA SIKU YAKE YA KUZALIWA YA MIAKA MITANO SPRINGDALE MARYLAND

 Mtoto Albert akizima mishumaa na kutaja matarajio yake siku ya Jumamosi June 3, 2017 siku alipofanyiwa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa ya miaka mitano Sprindale, Maryand nchini Marekani.
 Mtoto Albert akikata keki huku akishuhudiwa na watoto wenzake.
Mtoto Albert akiweka keki aliyokata kwenye visahani tayari kuwagawiya watoto wenzake.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: