Advertisements

Sunday, June 25, 2017

SALA YA EID EL FITR DMV LEO

Polisi akielekeza Magari sehemu ya maegesho siku ya Jumampili June 25, 2017 siku Waislaam Watanzania wa DMV walipojumuika pamoja na Waislam wenzao kwenye sala ya Eiid el Fitri iliyofanyika kwenye msikiti wa Muslim Community Center uliopo mtaa wa New Hampshire Slver Spring, Maryland.
Watanzania Waislam DMV wakijumuika pamoja na Waislam wenzao DMV kwenye sala ya Eiid el Fitri iliyofanyika kwenye msikiti wa Muslim Community Center uliopo mtaa wa New Hampshire Slver Spring, Maryland.

Sala ya Eid el Fitr ikiendelea.
Ukodak moment
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: