Advertisements

Thursday, July 20, 2017

MAMA MZAZI WA ZARI, AFARIKI DUNIA!

Mama mzazi wa Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Halima Hassan amefariki dunia asubuhi hii, baada ya kuugua kwa wiki kadhaa na kulazwa hospitali. na hapo ndicho alichoandika Zali

No comments: