Advertisements

Friday, July 21, 2017

WATANZANIA WA HOUSTON - TEXAS NDANI YA MANCHESTER DERBY

Watanzania wakiwa kwemye mechi ya Man U na Ma City iliyochezwa Houston, Texas siku ya Alhamis July 20, 2017 na Man U kuibuka mshindi wa bao 2-0
Rahim (mwenye jezi ya Man City) akiwa katika picha ya pamoja na mashabiki wa Man U.
Watanzania Housto wakiwa katika picha ya pamoja kwenye mechi ya Man U na Man City iliyochezewa Houston, Texas. 
Kwa picha zaidi boofya som zaidi


No comments: