Advertisements

Saturday, August 26, 2017

IBADA YA MISA YA KUMBUKUMBU YA MZEE BERTRAM ANDREAS MAHAI! DMV

Tujumuike na Erick Mahai na Veronica Kaphipa katika misa ya kumbukumbu ya mpendwa wao mzee Bertram Andreas Mahai siku ya Jumamosi Aug 26, 2017 saa 8 mchana (2pm) katika kanisa la Mt. Edward Baltimore, Maryland.

Anuani ni 901 Poplar Grove st
Baltimore MD 21216.


Mzee Mahai Baba wa Erick Mahai Na Veronica Kaphipa alifariki dunia tarehe 9/7/2017 na kuzikwa tarehe 12/7/2017 huko nyumbani Tanzania.


Karibu tuungane pamoja kwenye Ibada ya misa ya kumbukumbu ya mpendwa wetu.

Tafadhali tuzingatie muda.

Baada ya misa tutajumuika pamoja kwa vinywaji na vitafunwa

Kwa taarifa zaidi na maelekezo tafadhali wasiliana na
Erick mahai 4439098389
Vitalis Gunda 240 383 6950
Dalmatus Nambai 301 523 1378
John Ndunguru 240 765 4499
Salum Mkamba 443 538 1821

Katule 301 433 1048

Bwana ametoa, Bwana ametwaa, sisi ni waja wake na kwake tutarejea na jina lake lihimidiwe.

Ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzio.

No comments: