Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassana ,
leo tarehe 18 Agosti 2017 amehudhuria Mkutano wa Troika Mbili za Asasi
ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika
SADC na Troika ya SADC kwa ajili ya kujadili hali ya Siasa , Ulinzi na
Usalama katika Kanda.
Mkutano huu umejadili zaidi hali ya Siasa nchini Lesotho na namna ya kuisaidia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambayo inatarajiwa kufanya Uchaguzi Mkuu.
Taarifa kamili ya Mkutano huu itawasilishwa leo Jumamosi tarehe 19 Agosti 2017, katika Mkutano wa 37 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC.
Double Troika inahusisha nchi wanachama Sita ambao kwa sasa ni Swaziland, Tanzania, Afrika Kusini, Angola, Botswana na Msumbiji.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kabla ya Mkutano wa Troika Mbili za Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC na Troika ya SADC kwa ajili ya kujadili hali ya Siasa , Ulinzi na Usalama katika Kanda.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akijadiliana jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kulia) kabla ya Mkutano
wa Troika Mbili za Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya
Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC na Troika ya SADC kwa ajili ya
kujadili hali ya Siasa , Ulinzi na Usalama katika Kanda.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye ukumbi
wa OR Thambo mjini Pretoria,Afrika ya Kusini tayari kuhudhuria Mkutano
wa Troika Mbili za Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya
Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC na Troika ya SADC kwa ajili ya
kujadili hali ya Siasa , Ulinzi na Usalama katika Kanda
No comments:
Post a Comment