Advertisements

Saturday, August 12, 2017

WAZIRI MKUU AKIWA WILAYA YA UYUI MKOA WA TABORA KWA ZIARA YA KIKAZI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi katika Uwanja wa Nsololo jimbo la Igalula Wilaya ya Uyui  mara baada yakuwasili leo August 12, 2017 na kufanya mkutano wa hadhara katika Wilaya ya Uyui Mkoa wa Tabora.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mkewe Mama Majaliwa wakiwasalimia wananchi katika Uwanja wa Nsololo jimbo la Igalula Wilaya ya Uyui  mara baada yakuwasili leo August 12, 2017.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya CCM Taifa na Mkuu wa Wilaya Mstaafu Bwana  Jackson Masome walipo kutana katika mkutano wa hadhara leo August 12.2017 katika Wiaya ya Uyui Tabora.

PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

No comments: