Advertisements

Saturday, September 23, 2017

Hon. TUNDU LISSU FUNDRAISING

Wapenda amani na haki popote pale mlipo, Chadema tawi la Houston wakishirikiana na tawi la Washington DC, tumewasiliana na uongozi wa Chadema nyumbani Tanzania kuhusu njia za kuchangia matibabu ya Lissu na kukubaliana kwa pamoja kufungua GoFundMe account nia kubwa ikiwa ni kurahisisha uchangiaji kutoka diaspora pamoja na kufanya process iwe more transparent.

Mchango wako sio lazima uwe mkubwa, unaweza kutoa kiasi chochote, nia ni kuwafikia watu wengi kadri tuwezavyo.
Unaweza kuchangia kwa kuandika Jina lako au anonymously.


Kuchangia sio tu kutawezesha Lissu apate huduma bora zaidi, bali kutatuma ujumbe
kwa watu waliofanya shambulizi ili la kinyama kwamba watanzania siku zote watasimama upande wa amani na haki.

Fuata link hapo chini kuungana na diaspora wengine kuchangia matibabu ya Lissu:

https://www.gofundme.com/Lissumedicalcare#

No comments: