Advertisements

Saturday, November 18, 2017

Mhe. Waziri wa Mambo ya Nje Dkt. Augistine Mahiga, (MB) akamilisha Ziara ya Marekani tarehe 18 Novemba, 2017

Mhe. Dkt. Augustine Mahiga, MB, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki akamilisha ziara ya Marekani alipokuwa kwa Mwaliko wa Mhe. Rex Wayne Tillerson, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Washington, D.C. tarehe 17 Novemba, 2017.

Mhe. Dkt. Augustine Mahiga, MB, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki katika picha na mwenyeji wake Mhe. Rex Wayne Tillerson, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani.

Mhe. Dkt. Augustine Mahiga, MB, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwa na mwenyeji wake Mhe. Rex Wayne Tillerson, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, pamoja nao ni Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi, Balozi wa Tanzania, nchini Marekani na Mexico

Mhe. Dkt. Augustine Mahiga, MB, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi na watumishi wengine wa Ubalozi wa Tanzania, Washington, D.C., Marekani alipotembelea Ubalozi wetu Washington, D.C. Marekani.

No comments: