naomba pia habari za hapa ndani marekani na kwingineko mtuweke kama hapo zamani ulikuwa ukitaka habari za hapa au nje una click na za nyumbani pia una click sama mbna mmezitoa za hapa nchini marekani na kwinginepo.nilikuwa nafaidi kwa mimi pangu pakavu nisiye na tv wala cable. rudisheni basi ile link.ahsanteni nyote kwa kazi yenu njema.mbarikiwe daima
Naomba kujua malipo ya fundi ujenzi pamoja na vibarua wake, nimekusudia fundi wakawaida sio mtaalam alie somea, ila nimwenye uzefu tu. Analipwa kiasi gani kwa siku ?? Bongo
Naomba tupate habari za Tanzania Day in Dallas maana tukio hili ni kubwa kwa sisi Watanzania hasa ukizingatia litasaidia kutangaza culture yetu, mavazi, utalii, biashara, uchumi nk nk Asante
13 comments:
Naomba muatangaze simu tv wapate subscribers zaidi. Wanafanya kazi nzuri sana ya kutupandishia habari kutoka nyumbani.
naomba pia habari za hapa ndani marekani na kwingineko mtuweke kama hapo zamani ulikuwa ukitaka habari za hapa au nje una click na za nyumbani pia una click sama mbna mmezitoa za hapa nchini marekani na kwinginepo.nilikuwa nafaidi kwa mimi pangu pakavu nisiye na tv wala cable.
rudisheni basi ile link.ahsanteni nyote kwa kazi yenu njema.mbarikiwe daima
TMI...
naona umelitupilia kapuni ombi langu la kuweka link za news za hapa marekani oka poa poa haina noma dj luke mutoto wa mujini.
March 2 kweli? Mbona mnakimbiza miezi au macho yangu.
Latest Sports News
Mbona masela wote nikiwapigia simu wanajifanya nimepiga Wrong number. masela vipi Msishuke bado ndio mimi nakupeni Hi tu..
Naomba kujua malipo ya fundi ujenzi pamoja na vibarua wake, nimekusudia fundi wakawaida sio mtaalam alie somea, ila nimwenye uzefu tu. Analipwa kiasi gani kwa siku ?? Bongo
Kwa anae jua
Naomba tupate habari za Tanzania Day in Dallas maana tukio hili ni kubwa kwa sisi Watanzania hasa ukizingatia litasaidia kutangaza culture yetu, mavazi, utalii, biashara, uchumi nk nk Asante
Kazi yenu ni bora kabisa!
Habra njema
RIP. Walio kufa kwa boat.
nice blog.
Post a Comment