Advertisements

Saturday, November 18, 2017

UHURU Wa MTanzania - TANZANIA Indepence Day Celebrations


Watanzania wa majimbo ya New England wanawakaribisha katika shughuli ya 
kusheherekea Miaka 56 ya UHURU wa Tanzania.
Sherehe itafanyika Jumamosi Tarehe 9 December, kuanzia saa kumi na mbili jioni (6PM).

Karibuni kujumuika nasi tukisheherekea sikukuu ya uhuru wa Mtanzania.
Vyakula, vinywaji na burudani usiku kucha.

Mahali:
EASTWOOD CLUB
389 TOWNSEND ST, FITCHBURG, MA 01420

Karibuni Wote.

No comments: