Advertisements

Thursday, January 18, 2018

MSIBA DMV/TANZANIA


Kaka yetu Mabelana Nyanda amefiwa na Baba yake mzazi mzee Nyanda. Msiba umetokea nyumbani Tanzania.

Nyanda alijitahidi sana kumuuguza Baba yake, alishamleta kwa matibabu hapa Marekani. Wanajumuiya kama ilivyo ada na desturi yetu kupeana mkono wa pole.

Tunaomba tumshike mkono kaka yetu katika kipindi hiki kizito cha majonzi.

Rambirambi:
Account ya Michael Nyanda
Bank of America
446035788508

Kuwasiliana na Nyanda: ‭+1 (682) 206-9062

Bwana ametoa, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe

No comments: