Advertisements

Friday, June 15, 2018

SALA YA EID EL FITR

Angalia Taswira mbali mbali za Watanzania waislam waishio DMV, Marekani walivyojumuika kwa pamoja na Waislam wenzao ulimwenguni kusherehekea Sikuku ya Eid el Fitr, baasa ya Sala iliyosaliwa kwenye msikiti wa Muslim Community Center uliopo New Hampshire Ave Silver Spring, Maryland, nchini Marekani Juni 15, 2018. Picha  zote na swahilivilla.blogspot.com Washington

No comments: