Advertisements

Friday, June 22, 2018

KUMBUKUMBU


07/12/1973 Kufariki:22/06/2015 Leo 22/06/2018 Umetimiza miaka Mitatu tangu umefariki Huko Houston,TX,USA.Sisi ndugu zako umetuachia Huzuni na pengo ambalo halitazibika.Unakumbukwa sana na watoto zako Luis(Anwar) na Jermaine.Unakumbukwa na Baba yako Mzazi mzee Lawrence Mushi Kimbori,Wadogo zako Rudolf(dofu),Gaudence,Fulgence,Renatus(Kulwa),Claudia,Martha(Dotto/Manka) na Mary(Mkakeni).Unakumbukwa na Ukoo wote wa Kimbori na Massawe.Unakumbukwa na ndugu Jamaa na marafiki zako wote.Pia Unakumbukwa na wanajumuiya wa Tanzania Houston Community (THC) Houston TX, USA.Bwana alitoa,Bwana ametwaa Jina lake Lihimidiwe,Amen.

No comments: