Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akizungumzana Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt
ambaye amemaliza muda wake wa kazi .Balozi
Katarina Rangnitt alifika ofisi kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es
Salaam kwa lengo la kumuaga rasmi Makamu wa Rais. (Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akimkabidhi zawadi Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt
ambaye amemaliza muda wake wa kazi .Balozi
Katarina Rangnitt alifika ofisi kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es
Salaam kwa lengo la kumuaga rasmi Makamu wa Rais
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akisalimiana na Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt
aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais kwa lengo la kumuaga baada ya muda
wake wa kazi nchini kumalizika. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt
ambaye amemaliza muda wake wa kazi .Balozi
Katarina Rangnitt alifika ofisi kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es
Salaam kwa lengo la kumuaga rasmi Makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment