Advertisements

Sunday, July 15, 2018

KANGI LUGOLA “NINJA” ATEMBELEA KITUO CHA UCHAPAJI NYARAKA ZA UHAMIAJI,KILICHOPO MTONI KIJICHI,JIJINI DAR ES SALAAM

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dk. Anna Makakala, akifafanua jambo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola(kushoto), wakati waziri alipotembela kiwanda cha uchapaji nyaraka hizo kilichopo Mtoni Kijichi, jijini Dar es Salaam
Mtumishi wa Idara ya Uhamiaji ,Eva Kikoti akifafanua jambo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto), wakati waziri alipotembela kiwanda cha uchapaji nyaraka hizo kilichopo Mtoni Kijichi, jijini Dar es Salaam . Kulia ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dk. Anna Makakala.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akikagua nyaraka mbalimbali zinazotumiwa na Idara ya Uhamiaji, alipotembela kiwanda cha uchapaji nyaraka hizo kilichopo Mtoni Kijichi, jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dk. Anna Makakala .
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola(wapili kutoka kushoto), akimsikiliza Mhakiki wa nyaraka mbalimbali zinazotumiwa na Idara ya Uhamiaji,Prosper Kikoti, wakati alipotembela kiwanda cha uchapaji nyaraka hizo kilichopo Mtoni Kijichi, jijini Dar es Salaam.Watatu kushoto ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dk. Anna Makakala
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola(wapili kutoka kushoto), akimsikiliza Mchapaji wa nyaraka mbalimbali zinazotumiwa na Idara ya Uhamiaji,Enos Lwinga, wakati alipotembela kiwanda cha uchapaji nyaraka hizo kilichopo Mtoni Kijichi, jijini Dar es Salaam.Wakwanza kushoto ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dk. Anna Makakala .(PICHA NA WMNN)

No comments: