Advertisements

Sunday, July 15, 2018

MKUU WA MKOA WA DAR-ES-SALAAM MH. PAUL MAKONDA AKIWA NA VAZI LA CHAMA KWENYE KIKAO CHA MREJESHO

RC Makonda akiongea machache kwenye kikao cha mrejesho wa ahadi za Mh Rais Dr Pombe John Magufuri ambapo sasa ni miaka miwili na nusu ya utawala wake na pia. Uongozi wa chama cha mapinduzi mkoa wa Dar uliwaalika wajumbe wa halmashauri na kamati zote za siasa katika kata 102 za mikoa kuja kusikiliza utekelezaji wa ilani ya uchaguzi uliokuwa unawasirishwa na mkuu wa mkoa wa Dar Mh. Paul makonda.
Jiriririshe hapa chini kupa taswira mzima ya mkutano huo ulikuwa umefanyika ukumbi wa Mwalimu Nyerere.


No comments: