Advertisements

Sunday, July 15, 2018

PICHA ZA MHADHARA ULIOFANYIKA DMV JUMAMOSI

Mhadhara wa Tanzania Muslim community(TAMCO)uliowakaribisha Sheikh Nurdin Kishk kutoka Tanzania na Yussuf ABDI,kutoka Kenya siku ya Jumamosi July 14, 2018 Silver Spring, Maryland.
 Watu mbalimbali waliohudhuria mhadhara 
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi1 comment:

Unknown said...

Maashalah. Allah awahifadhi masheikh wetu