Advertisements

Wednesday, July 11, 2018

UKODAK MOMENT OLD SCHOOL REUNION DMV 2018

Asha (kushoto)na Joha wakipata picha ya pamoja siku ya Jumamosi July 7, 2018 siku ilipofanyika Old School Reunion ya nguvu DMV na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali kutoka kila pembe ya Dunia. Picha na Vijimambo Blog
Kushoto ni Miss Kigoma kutoka Columbus, Ohio akipata picha ya pamoja na Wash mdau mwingine toka Ohio aliyehudhuria Old School Reunion ya nguvu DMV.
Wadau wakipata picha ya pamoja
Msanii wa Bongo Movie Monalisa akipata picha ya upendeleo.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 
 
 

No comments: