Advertisements

Saturday, July 14, 2018

Wana Umoja International Church of Dallas,TX walivyosheherekea BBQ ya Pamoja siku ya July 4th. Viongozi wa Umoja International Outreach Church of Dallas  wakihakikisha nyama choma inatengenezwa kwa ubora na umakini zaidi.


 Viongozi wa Umoja wakiburudika na nyama choma pamoja na vitafunwa mbalimbali katika siku ya kumbukumbu ya uhuru wa Marekani.


Wamama wa Umoja International Outreach Church of Dallas walipendezesha na kufanikisha hafla hiyo ya July 4th.

No comments: