Advertisements

Wednesday, October 17, 2018

TAMASHA LA MAOMBI LA SIKU 2 LA MIAKA MIWILI YA KANISA LA KISWAHILI LA LUTHERAN, ROCKVILLE, MARYLAND


Mchungaji Kimaro akihubiri katika tamasha la siku mbili la maombi katika kuadhimisha miaka miwili tangu kuanzishwa kwake kanisa la misa ya Kiswahili la Lutheran lililopo Rockville, Maryland. Tamsaha hilo lilifanyika siku ya Jumamosi na Jumapili Oct 13, 14, 2018 na kunogeshwa na wasanii mbalimbali wa nyimbo za injili akiwemo Upendo Kilahiro kutoka Tanzania.
Mchungaji John Mbatta akielezea jambo.
 Mwinjilisti Allen Mushi akisoma neno
 Mzee wa Kanisa Mzee Jerom Kassembe akisoma neno
 Richard Mawenye mmoja ya viongozi wa kanisa hilo akiwa mbele katika kuadhimisha miaka miwili ya kanisa hilo.
Wachungaji wakifuatilia ibada ya maadhimisho ya miaka miwili ya kanisa la misa ya Kiswahili Lutheran Rockville, Maryland.
Kukata keki ya kuadhimisha miaka miwili ya kanisa hilo.
 Keki.
 Elly Cooper akimlisha keki mchungaji Kimaro aliykuja maalum kwenye maadhimisho ya kanisa hilo.
Mwimbaji wa nyimbo za injili Upendo Kilahiro akiimba moja ya nyimbo zake katika maadhimisho ya miaka miwili ya kanisa ya misa ya Kiswahili Lutheran Rockville,Maryland.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 SIKU YA JUMAMOSI

No comments: