Advertisements

Monday, December 17, 2018

JOY ASHEREHEKEA SIKU YA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KWAKE NA MARAFIKI ZAKE


Joyce Cottrell akipata picha yake ya upendeleo siku ya Jumapili De 16, 2018 alipokua na marafiki zake katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika Laurel, Maryland.

Joyce Cottrell akijiandaa kufungua champaigne kusherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa.
mlio wa champaigne ikiashiria kufunguka kwake.

Joyce Cottrell akiwamiminia rafiki zake waliofika kusherehekea nae..

Ni furaha kwa kwenda mbele.

Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


 

No comments: