Advertisements

Monday, January 21, 2019

ZIMEBAKI SIKU ZA KUNYATANYATA KUFIKIA OLD SCHOOL REUNION 2019, HOUSTON, TEXAS KUWAKA MOTO

H-Town Old School Reunion 2019 kufanyika March 22 na 23 Houston, Texas kaa mkao wakula ikiwemo Bonanza la mpira wa kikapu na soka la Simba na Yanga inayosubiliwa kwa hamu Houston na vitongoji vyake.
 Timu ya Yanga
Timu ya Simba
Image result for OLD SCHOOL OHIO VIJIMAMBO
Timu ya mpira wa kikapu


H-Town OLD SCHOOL REUNION
March 22 - March 23 2019 ndani ya Houston TX

OLD SCHOOL REUNION 2019
Mwakani itafanyikia H-Town ni event ya siku 2 itaanza Ijumaa usiku na kumalizikia Jumamosi

Bonanza la mpira wa kikapu ikiwashirikisha wachezaji wa waliotamba na timu za Pazi, Vijana, Don Bosco na wengine Tanzania wakishirikiana na wachezaji vijana..

RATIBA NI KAMA IFUATAVYO

Ijumaa March 22, 2019 ni Karibu Night Music policy ni NEW SCHOOL by Houston Dj’s

Crystal Palace Party Hall
12450 Bissonnet #220

Houston, TX. 77099
Jumamosi March 23 Litaanza bonanza la kikapu na baadae mpira wa Simba na Yanga mechi itakayochezewaBritish International School of Hosuton Soccer field anuani
2203 N Westgreen Blvd,
Katy, TX 77449
Baadae Usiku kutakuwa na Old School Party usikose burudani kutoka kwa The Legendary DJs Luke Joe aka Mix Master Akishirikiana na DJ DENNIS FUNKHOUSE

Crystal Palace Party Hall
12450 Bissonnet #220
Houston, TX. 77099

*Jan-March 22*
Fri $20 couple $30
Sat $30 Couple $50
Kulipia mlangoni
Fri $30
Sat $40
Lipia kupitia CashApp
Luke Joe 301 661 6696 -Tuma lisiti/jina kamili
*Stay tuned more details to come!!

No comments: