Advertisements

Monday, December 17, 2018

UBATIZO NA BIRTHDAY YA ARIANE BALTIMORE, MARYLAND.

Padri Honest Munishi akiongoza ibada ya misa ya ubatizo ya Ariane iliyoenda sambamba ya sherehe ya siku ya kumbukumbu yakuzaliwa kwake iliyofanyika siku ya Jumamosi Dec 15, 2018 katika kanisa la mt. Edward, Baltimore, Maryland.
Robert Saulanga akisoma somo.
Ariane (nguo nyeupe) akiwa na wazazi wake na dada yake wakati wa misa.
Juu na chini niibada ya misa ya ubabtizo ikiendelea.
Kwa  picha zaidi bofya soma zaidi

Ibada ikiendelea.
Ariane akiwa tayali kubatizwa.
Baba na mama wa ubatizo wakijiandaa katika zoezi la ubatizo la Ariane.
Padri Honest Munishi akimbatiza Ariane.
Eddah na Vincent ambao ndio mama na baba wa ubatizo wa Ariane wakimfuta maji mara tu baada yaubatizo wake kufanyika.
Ibada ikiendelea.
Ariane akipakwa mafuta katika paji la uso na Padri Honest Munishi kwenye misa ya ubatizo wake iliyofanyika siku ya Jumamosi Dec 15, 2018.
Picha juu na chini misa ya ubatizo ikiendelea.
Ariane akiwa ameshikilia mushumaa
Padri Honest Minishi akimaliza misa.
P
Padri Munishi akipena mkono na wazazi wa Ariane.
Juu na chini ni picha ya pamoja.
Picha juu na chini ni sherehe iliyoendelea mara tu baada ya misa.



Wageni waalikwa wakijiandaa kumzawadia zawadi Ariane.
Ariane akiendelea kupata zawadi.
Ariane akiwa na watoto wenzie akipata zawadi.
Zawadi zikiendelea.
Zawadi zikiendelea.
Juu na chini ni wageni waalikwa wakiendelea kumzadaia Ariane.
 Ariane akijiandaa kukata keki
 Ariane akisaidiwa kukata keki na mama yake.
 Ariane akisaidiwa kukata keki na mama yake na Tifa.
 Tifa akisaidia kukata keki
 Ariane akimlisha mama yake keki.
 Mama akimlisha keki Ariane
 Ariane akimlisha keki dada yake.
 Wazazi wa ubatizo wa Ariane wakimlisha keki mtoto wao.
 Ariane akimlisha keki mama yake wa ubatizo Eddah Gachuma
 Ariane akimlisha keki baba yake wa ubatizo Vincent. 
 Juu na chini ni wakati wa chakula

 Tifa akisoma mameno ya zawadi ya wazazi wa ubatizowa Ariane waliyomzawadia
 Ariane akipokea zawadi yake.

 Ariane akiangalia zawadi yake.
 wazazi wa Ariane na dada ya ke wakiwasikiliza kwa makini baba na mama wa ubatizo wa Ariane.
 Mama na mwana katika picha.
 Baba wa Ariane akiongea neno la shukurani

Mama akitoa neno la shukurani.
 Ariane akiwa na moja ya marafiki zake
 Ukodak moment

 Juu na chini ni Ukodak Moment
 Wazazi wa ubabtizo wa Ariane wakitoa neno la shukurani
 Wazazi wa ubabtizo wa Ariane wakitoa neno la shukurani

 Juu na chini ni Ukodak Moment

No comments: