Advertisements

Monday, June 24, 2019

KONGAMANO LA WANAWAKE DMV LAFANA

 Mgeni Rasmi Balozi wa Africa Union, Mhe. Dr. Arikana Chihombori Quao siku ya kongamano la wanawake lililofanyika June 22, 2019 Gaithersburg, Maryland.
 Mwanasheria wa Uhamiaji Fatimata Barrie akiongelea sheria za uhamiaji kwenye kongamano la wanawake lililofanyika siku ya Jumamosi June 22, 2019 Gaithersburg, Maryland.
 Grace Mlingi kiongozi wa  kitengo cha Vijana Jumuiya ya waTanzania DMV akiongea siku ya kongamano la wa wanawake.
 Wageni wakiwa meza kuu 
 Mkuu wa kitengo cha vijana Jumuiya ya waTanzania DMV Grace Mlingi.
Wanawake wakiwa kwenye kongamano lao wakifuatilia hotuba ya Balozi wa Africa Union Mhe. Dr. Arikana Chihombori Quao.

Hotuba ikiendelea.
Wanawake wakisimama kwa shangwe kumshangilia Balozi wa Africa Union mara tu alipomaliza hotuba yake.
Mhazina wa Jumuiya ya waTanzania DMV Bi. Lysa Bantu akiongea jambo.
Kamati ya Jamii na Uchumi kitengo cha wanawake na watoto wakifutilia hotuba ya Balozi wa African Union nchini Marekani Mhe. Dr. Arikana Chihombori Quao siku ya kongamano la wanawake DMV. Kwa picha zaidi bofya soma zaidi



No comments: