Friday, January 8, 2021

ANNA BAYI KUZIKWA KESHO MKUNZA KIBAHA

Mwenyekiti wa zamani wa CHANETA Anna Bayi, ambaye pia alikuwa Mkurugenzi wa shule za Filbert Bayi na Mke wa Mwanariadha maarufu Nchini Filbert Bayi atazikwa kesho Mkuza Kibaha, amefariki January 6,2021 katika hospitali ya Hindu Mandal Dar es salaam alipokua akitibiwa.

Msaidizi wake katika Taasisi ya Shule za Filbert Bayi, Elizabeth Mjema amesema “Mama Bayi alikua anasumbuliwa na Pneumonia na Presha”

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake