Advertisements

Monday, January 18, 2021

RAIS DKT. MAGUFUL:I AFUNGUA MAJENGO MAPYA YA MADARASA YA SHULE YA SEKONDARI YA WAVULANA YA IHUNGO MJINI BUKOBA, MKOA WA KAGERA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipeana mikono na Mwenyekiti wa Bodi ya Elimu ya na Mafunzo Stadi
(VETA) Bw. Peter Maduki baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa
ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) cha mkoa wa Kagera eneo la
Burugo nje kidogo la mji wa Bukoba leo Jumatatu Janruari 18, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiondoka baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa
ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) cha mkoa wa Kagera eneo la
Burugo nje kidogo la mji wa Bukoba leo Jumatatu Janruari 18, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na Balozi wa China Nchini Mhe. Wang Ke akiweka la
msingi la mradi wa ujenzi wa Chuo cha Elimu na Ufundi Stadi (VETA) cha
mkoa wa Kagera eneo la Burugo nje kidogo la mji wa Bukoba leo
Jumatatu Janruari 18, 2021Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipeana mikono na Balozi wa China nchini Mhe. Wang Ke baada ya kuweka
la msingi la mradi wa ujenzi wa Chuo cha Elimu na Ufundi Stadi (VETA)
cha mkoa wa Kagera eneo la Burugo nje kidogo la mji wa Bukoba leo
Jumatatu Janruari 18, 2021

No comments: