Advertisements

Saturday, February 27, 2021

SALAAM KUTOKA OREGON

Bosslady wa ukwelli Glory akiwa kwenye pozi kali akiwa ameegemea usafiri wake siku alipokutana na kamera ya Vijimambo mjini kwake Hillsboro jimbo la Oregon nchini Marekani ambapo ndio makazi yake mapya kwa sasa baada ya kuhamia huko akitokea Massachudetts.

 

No comments: