Advertisements

Wednesday, April 14, 2021

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS SAMIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, leo April 14,2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ofisini kwa Rais Samia Ikulu Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments: