Advertisements

Tuesday, April 20, 2021

NG'ARI NG'ARI YA KAMBIRA MAPESA NA JACKLINE GIDION , CEDAR REPIDS, IOWA

Bi harusi Jackline Gidion akijiandaa kushuka toka ndani ya gari tayari kufunga ndoa na Bwana harusi Kambira Mapesa, ndoa iliyofanyika siku yaJumampili April 18, 2021 katika kanisa la Sabato mjini Cedar Rapids, jimbo laIowa nchini Marekani.
Bi harusi Jackline Gidion akiingia kanisani
Picha juu na chini ni Bwana harusi Kambira Mapesa akisubili kumlaki Bibi harusi
Bibi harusi akisindikizwa na wanae kuingia kanisani.
Watoto wa Bibi harusi wakimkabidhi mama yao kwa bwana harusi
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Bwanaharusi akimpokeaBibi harusi tayari kwa kufunga ndoa.
Bwana na Bibi harusi wakielekea kufunga ndoa.
TheBride is coming bango likosomeka kama linavyoonekana
Ibada ya misa ya ndoa ya Bwana harusi Kambira Mapesa na Bibi harusi Jackline Gidion ikikaribia kuanza.
Ibada ya ndoa ikiendelea
Kikundi cha nyimbo za injili kikiimba moja ya nyimbo zao kwenye ibada ya ndoa ya Bwn. harusi Kambira Mapesa na Bi, harusi Jackline Gidion
Picha juu na chini ni watu mbalimbali waioshuhudia ndo hiyo ikifungwa siku ya Jumapili katika kanisa la Sabato Cedar Rapids, Iowa nchini Marekani.
Bibi harusi akiwa na mpambe wake.
Mpiga kinanda kitumbuiza moja ya nyimbo za injili zilizotumbuizwa kwenye ibada hiyo ya ndoa yaBw. harusi Kambira Mapesa na Bi, harusi Jackline Gidion.
Fundi mitambo akihakikisha ndoa hiyo ikiruka LIVE.
Ndugu, jamaa na marafiki wakufuatilia ibada ya ndoa hiyo.
Bwana harusi na mpambe wake.
Picha juu na chini kikundi kingine cha nyimbo za injili kikiimba mpoja ya nyimbo zake.
Picha juu na chini ibada ya mdoa ikiendelea.
Bwana harusi akimvisha pete bibi harusi wake.
Bibi harusi akimvisha pete bwana harusi wake.
Sasa mmekua mume namke
Sasa ni mwili mmoja
Mchungaji akiwarushu Bwanana Bibi Mapesa kuondoka baada ya ndoa yao kumalizika.
Bwana na Bibi Mapesa wakiondoka kanisani kama Mume na Mke.
Juu na chini ni picha za mwanzo kabla ibada ya ndoa haijaanza
Picha juu na chini ni Wasimamizi na wapambe wa harusi wakiingia kanisani
Wapambe wa bwana na bibi harusi wakiingia kanisani

CHINI NI PICHA ZA UKUMBINI
Picha juu na chini ni ndugu, jamaa na marafiki waliofika ukumbini kusherehekea harusi
Maharusi na wapambe zao wakiingia ukumbini
Maharusi wakiingia ukumbini
Bwana na Bibi harusi wakikata keki
Bwana harusi akimlisha keki Bibi harusi
Bibi harusi akimlisha keki Bwana harusi
Bwana harusi akimlisha keki mpambe wake.
Bibi harusi akimlisha keki mpambe wake
Bwana na Bibi harusi wakisubili tendo linalofuata
Bibi harusi akipeleka keki ukweni.
Bibi harusi akikabidhi keki ukweni
Bwana harusi akikabidhi keki ukweni
Bwana harusi akishukuru jambo baada ya kukabidhi keki
Picha juu na chini Bibi harusi akisalimiana nafamilia yake
Bwana na Bibi harusi wakisubili tukio linalofuata
Bwana harusi akimwesha Bibi harus kinywaji
Bwana na Bibi harusi na wageni waalikwa wakigonganisha glasi.
Juu na chini ni kikundi kutoka familia ya Bibi harusi wakitumbuiza kwa nyimbo kutoka Burundi

No comments: