Advertisements

Tuesday, May 4, 2021

MAJALIWA AZUNGUMZA KATIKA DUA KWA RAIS SAMIA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika hafla ya futari iliyohudhuriwa na Viongozi wa Dini, na dua maalum kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, Mei 3, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: