Advertisements

Wednesday, September 15, 2021

MKURUGENZI WA USAID TANZANIA AZUNGUMZA NA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro ( kulia) akisistiza jambo wakati akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi wa Tanzania wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ,Veeraya Kate Somvongsiri wakati alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dodoma ambapo pamoja na mengine wamezungumzia hatua ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii inazichukua katika kuwalinda watalii ili kuweza kukabiliana na tatizo la ugonjwa wa Corona
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro ( kulia) akiteta jambo mara baada ya kumaliza kufanya mazungumzo na na Mkurugenzi wa Tanzania wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ,Veeraya Kate Somvongsiri wakati alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dodoma ambapo pamoja na mengine wamezungumzia hatua ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii inazichukua katika kuwalinda watalii ili kuweza kukabiliana na tatizo la ugonjwa wa Corona
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro ( kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Tanzania wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ,Veeraya Kate Somvongsiri mara baada ya kufanya mazungumzo leo Jijini Dodoma ambapo pamoja na mengine wamezungumzia hatua ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii inazichukua katika kuwalinda watalii ili kuweza kukabiliana na tatizo la ugonjwa wa Corona

No comments: