Advertisements

Thursday, September 16, 2021

ZIARA YA NAIBU WAZIRI KHAMIS HAMZA CHILO KATIKA GEREZA LA MAWENI NA MPAKA WA HOROHORO JIJINI TANGA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo (kushoto), akila chakula katika Gereza la Maweni wakati wa Ziara ya Kutembelea Gereza hilo na kuzungumza na wafungwa na mahabusu. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Tanga,Hashim Mgandilwa.Ziara hiyo imefanyika leo jijini Tanga.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mkuu wa Wilaya ya Mkinga, mkoani Tanga, Kanali Sulumbu akimuonyesha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo (kushoto) jiwe la Mpaka wa Horohoro unaotenganisha nchi ya Tanzania na Kenya wakati wa ziara iliyoifanyika leo mkoani Tanga.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo,akizungumza na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakati alipotembelea Gereza la Maweni na kuzungumza na wafungwa na mahabusu.Ziara hiyo imefanyika leo jijini Tanga.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo(katikati mstari wa mbele), akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama mkoani Tanga wakati alipotembelea Gereza la Maweni na kuzungumza na wafungwa na mahabusu.Ziara hiyo imefanyika leo jijini Tanga.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments: