Advertisements

Friday, November 26, 2021

PITAPITA YA VIJIMAMBO THANKSGIVING LOS ABGELES, CALIFORNIA

Pitapita ya Vijimambo Los Angeles, California siku ya Alhamisi Nov 25, 2021 jiji la watengeneza sinema na kukuta waTanzania wakisherehekea Thanksgiving kwa kula bata mzinga kama ilivyo ada ya sikukuu hiyo nchini Marekani Katika picha ni waTanzania waliojumuika pamoja nyumbani kwa Bi. Nuru Mawhite
Bata mzinga akiwa tayari kwa Thanksgiving
Chakula kikiendelea
Mambo si mambo yote katika kusherehekea Thanksgiving, Picha zaote na NY Ebra
 

No comments: