Advertisements

Saturday, May 21, 2022

RAIS MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KATIBU MTENDAJI WA SEKRETARIETI YA ENEO HURU LA BIASHARA BARANI AFRIKA


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Katibu Mtendaji wa Sekretariet ya Eneo Huru la Biashara Barani Afrika Mhe. Wamkele Mene, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Barani Afrika.Mhe.Wamkele Mene (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Barani Afrika Mhe. Wamkele Mene.(kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kiagana na mgeni wake Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Barani Afrika Mhe. Wamkele Mene, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 20-5-2022.(Picha na Ikulu)

No comments: