Advertisements

Wednesday, May 11, 2022

RAIS WA ZANZIBAR DTK. HUSSEIN MWINYI AHUTUBIA KATIKA HAFLA YA JU ILEI YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA AGUSTINO SHAO




RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya sherehe ya Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Muhashamu Agustino Mweleli Shao wa Jimbo Katoliki Zanzibar, iliyofanyika 10-5-2022, katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
ASKOFU Mhashamu Agustino Mweleli Shao akizungumza katika sherehe za Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wake Jimbo Katoliki la Zanzibar,kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuhutubia katika sherehe hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar 10-5-2022.(Picha na Ikulu)




MWAKILISHI wa Baba Mtakatifu kutoka Vatican Monsignori Richard Gyhra akitowa salumu wakati wa sherehe za Jubilie ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Mhashamu Askofu Agustino Mweleli Shao wa Jimbo Katoliki Zanzibar, iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar  10-5-2022.(Picha na Ikulu)

MAASKOFU wa Kanisa Katoliki Tanzania wakifuatilia hutuba ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya sherehe ya Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Mhashamu Agustino Mweleli Shao wa Jimbo Katoliki Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar 10-5-2022.(Picha na Ikulu)
MAASKOFU wa Madhehebu Dini tafauti Zanzibar wakifuatilia sherehe za Jubilei ya Miaka 25 ya Askofu Mhashamu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar Askofu Agustino Mweleli Shao, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar 10-5-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Askofu Muhashamu wa Jimbo Katoliki Zanzibar Askofu Agustino Mweleli Shao, wakati wa sherehe za Miaka 25 ya Uaskofu wake Jimbo la Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar 10-5-2022.(Picha na Ikulu)

No comments: