RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa Wilaya Ndogo ya Tumbatu wakati wa ziara yake katika Kisiwa cha Tumbatu kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Wilaya Ndogo ya Tumbatu na kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Madarasa hayo kupitia Fedha za Uviko 19.akiendelea na ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 20-7-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud na Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja Mhe.Sadifa Juma, alipowasili katika Wilaya Ndogo ya Tumbatu akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo leo 20-7-2022 katika Wilaya hiyo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika Wilaya Ndogo ya Tumbatu na kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Skuli ya Msingi ya Tumbatu “B” iliyojengwa kwa Fedha za Uviko -19, akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 20-7-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Boti ya Uvuvi na Vifaa vyake Bw.Othman Haidar Othman iliyotolewa mkopo kupitia Benki ya CRDB kwa vikundi vya , hafla hiyo ya kukabidhi Boti kwa Vikundi vya Uvuvi na Wakulima wa Mwani vya Mkoa wa Kaskazini Unguja , makabidhiano hayo yamefanyika katika ufukwe wa pwani ya Tumbatu Jongowe, wakati wa ziara yake katika Wilaya Ndogo ya Tumbatu kutembelea Miradi ya Maendeleo .(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya michoro ya Ujenzi wa Maabara ya Skuli ya Sekondari ya Jongowe inayojengwa kwa mashirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Shirika la Misaada la Korea ya Kusini (KOICA) kutoka kwa Naibu Mkurugenzi Mkaazi Koica Tanzania Bi. Jieun Seong. Wakati wa ziara yake katika Wilaya Ndogo ya Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea jengo jipya la Maabara la Skuli ya Sekondari Jongowe Tumbatu akipa maelezo ya Ujenzi huo kutoka kwa Naibu Mkurugenzi Mkaazi Koica Tanzania Bi. Jieun Seong, akiwa katika muendelezo wa ziara yake katika Wilaya Ndogo ya Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 20-7-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya ujenzi wa jengo jipya la Maabara la Skuli ya Sekondari Jongowe Tumbatu akipa maelezo ya Ujenzi huo kutoka kwa Naibu Mkurugenzi Mkaazi Koica Tanzania Bi. Jieun Seong, na (kushoto kwake) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohammed Mussa, akiwa katika muendelezo wa ziara yake katika Wilaya Ndogo ya Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 20-7-2022.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment