Advertisements

Wednesday, May 31, 2023

RAIS DKT. MWINYI AZUNGUMZA NA MWAKILISHI MKAAZI WA UNDP BI.CHRISTINE MUSISI IKULU ZANZIBAR



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Nchini Tanzania Bi.Christine Musisi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 31-05-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Nchini Tanzania Bi.Christine Musisi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 31-05-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Nchini Tanzania Bi. Christine Musisi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 31-5-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Nchini Tanzania Bi. Christine Musisi (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake wa Maofisa wa UNDP, mazungumzo hayo yaliyofanyika leo 31-5-2023, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Nchini Tanzania Bi. Christine Musisi, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na Ujumbe wake,mazungumzo hayo yaliyofanyika leo 31-5-2023, katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments: