Friday, September 27, 2024

KONGAMANO KUBWA LA DIASPORA NCHINI MAREKANI, PICHA ZA WAGENI WAKIFANYA USAJILI .

Picha za wadau wakihakiki majina ya usajili wao


Kushoto ni Afisa wa Ubalozi  maswala ya uhamijaji Bi. Sophia Gunda akiongea jambo na Rais wa DICOTA Bi. Christina Lasway siku ya Alhamisi September 26, 2024 siku ya kwanza ya kongamano kubwa la Diaspora nchini Marekani linalofanyikia Kalahari Resort iliyopo Austin, Texas. Picha zote na vijimambo Blog.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Pichaa juu na chini ni Rais wa DICOTA (aliyevaa vazi la kitenge) Bi. Christina Lasway akiwakaribish wageni waliofika kuhudhuria kongamano kubwa la Diaspora  Austin, nchini Marekani.

Picha za wadau wakiwaa mapokezi Kalahari Resort
picha juu na chini Dirisha la usajili wakiandaa beji za majina
Picha juu na chini wadau wakipata ukodak moment


Bongo Zozo akiruka juu kwenye picha
Dirisha ya usajili wadau wakihakiki majina yao
Wadau wakipata picha ya kumbukumbu na Bongo Zozo
Kushoto ni Julius Manase akiwa katika picha ya pamoja na Bongo Zozo
Wadau wakihakiki usajili wao
Kibanda cha Vodacom wakitambulisha mfumo wa kutuma pesa wa M-pesa kutoka Marekani kwenda Tanzania.
Moja ya wajasiliamali wakiwa katika picha ya pamoja
Picha juu na chini ni wadau wa kongamano kubwa wakipata  chakula cha jioni kwenye mgahawa wa The Salt Lick uliopo pembezoni ya Kalahari Resort

Juu na chini ni wadau wakiangalia documentary ya band ya Mlimani park Orchestra iliyoonyeshwa Kalahari Resort, Austin, Texas nchini Mrakeani baada ya wadau hao kumaliza zoezi la kuhakiki majina yao kwenye dirisha la usajili

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake