Monday, October 14, 2024

MARAFIKI WA GLORY NORTH CAROLINA WAMTOA OUT KWA CHAKULA CHA JIONI, GREENSBORO

Video marafiki wa Glory wakimuimbia wimbo wa kuzaliwa katika mgahawa wa Brazilian uliopo Greensboro, North Carolina siku ya Jumamosi Octoba 12, 2024 nchini Marekani
Glory akipuliza mshumaa huku marafiki zake wakimuangalia, kushoto ni Jane Hando na kati ni Flora Minja siku ya Jumamosi Octoba 12, 2024 Greensboro, North Carolina marafiki zake walipomtoa out kusherehekea siku ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake.
Glory akijipongeza na kanywaji kidogo.
Glory akijipakulia minyama.
Picha juu na chini Glory akipata ukodak moment na marafiki zake
Glory na maraiki zake wakipata ukodak wa pamoja.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: