tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post2236512652674968038..comments2024-02-26T05:08:35.775-05:00Comments on VIJIMAMBO: Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion...Majukumu ya Baba katika FamiliaVIJIMAMBOhttp://www.blogger.com/profile/09023266887599892472noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-66927239191670034502013-12-04T22:30:36.280-05:002013-12-04T22:30:36.280-05:00USHAURI WANGU KWAKO MWANA JAMII PRODUCTION, MALENG...USHAURI WANGU KWAKO MWANA JAMII PRODUCTION, MALENGO YA HIKI CHOMBO NI MAZURI YA YANAIFIKIA JAMII. HAIFANYI SHUGHULI ZA KUIGA TOKA KWA WASANII AU BLOGHOSTERS, MMEKUWA WABUNIFU. FANYENI MPANGO WA KUWAHOJI HATA WAFUNGWA WA KIMATAIFA KAMA AKINA TOMAA LUBANGA, NTAGANDA BOSCO, CHARLES TAYLOR, NA WWENGINE KAMA BABU SEA NK. PIA TULETEE MAHOJIANO LIVE NA AKINA ZITTO KABWE, MREMA,LIPUMBA NA WENGINEO.<br /> NINA MAANA MIX YOUR UTAMU, LEO SIASA,KESHO UCHUMI, MAMBO YA KIROHO THE DAY AFTER TOMMORROW.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-50130782838565817292013-12-04T17:09:04.658-05:002013-12-04T17:09:04.658-05:00Jamii production. Tafadhali wekeni watu wa kutoa h...Jamii production. Tafadhali wekeni watu wa kutoa hoja wenye mfano mzuri wa jamii.sio mnafiki aliotelekeza mtoto..If you want change the world. Look yourself on the mirror.jamii unajipunguzia heshima ukiweka waongo na wanafiki sio wasiiojjali watoto..Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-88114604012846212092013-12-03T23:09:08.734-05:002013-12-03T23:09:08.734-05:00Jamii Production safi sana,Bubelwa nakukubali kwa ...Jamii Production safi sana,Bubelwa nakukubali kwa kuhabarisha lakini mada nyingine waiteni wahusika wataalamu. Kwa mfano mada hii ya wajibu wa baba katika familia mnaonaje mngewatumia na viongozi wa dini? Sababu baadhi ya hao watu uliowatumia kuwepo hapo studio kama waalikwa ni watu ambao wameshindwa. Ni hivi binadamu hawezi kuwa kiongozi kama ameshindwa kuiongoza familia. Mtu akiikataa mimba na kisha mtoto akisha zaliwa ataifundisha nini jamii. Kazi kwako Jamii Prod. Uwe mwangalifu kuchukua wachangiaji wako.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-14851037610646741742013-12-03T22:50:16.392-05:002013-12-03T22:50:16.392-05:00Msemaji wa kwanza asante sana maana hawa wajamaa s...Msemaji wa kwanza asante sana maana hawa wajamaa siwaonagi eti!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-46486850575312512552013-12-03T15:11:22.300-05:002013-12-03T15:11:22.300-05:00Angalizo: Hivi hiyo Ofisi yenu haina Heating Syste...Angalizo: Hivi hiyo Ofisi yenu haina Heating System? Mbona ni kama watu hawako comfortable? Inakuwaje bado watu wako ndani bado wamejikoki na makoti, kofia na cloves za baridi?<br /><br />Aidha, namipa pongezi kwa shughuli zenu za kuhabarisha jamii juu ya mabo mbalimbali. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-55769665531698789042013-12-03T13:48:53.798-05:002013-12-03T13:48:53.798-05:00MNAJIITA JAMII PRODUCTIONS HALAFU HAMUONEKANI KWEN...MNAJIITA JAMII PRODUCTIONS HALAFU HAMUONEKANI KWENYE SHUGHULI ZA WABONGO. NINYI WABINAFSI.Anonymousnoreply@blogger.com