Mimi napenda ndungu zangu wana vipaji vya kuimba kitu kimoja wanakosea wanapenda kuiga kama wamarekani wanavyoweka kwenye miziki yao mambo ya kuendesha magari na kuonyesha bling bling haileti hata maana wanatakiwa wavumbue maigizo yao wenyewe labda kuvaa nguo za utamaduni wetu na wao watuige maana ni tofauti.Angalia nchi zingine mbali na ulaya na marekani wanavyojitahidi na utamaduni wao na sisi tunahitaji sana kuweka maadili yetu mbele.

ReplyDelete