Thursday, August 13, 2026
MUHIMBILI YATUA MALAWI, YAFANYA KAMBI KUBWA YA UPASUAJI WA MACHO
›
Timu ya wataalamu kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili inashiriki katika kambi maalum ya upasuaji wa macho wa kibingwa na kibingwa bobezi ...
ISAIAH(ISAYA) YUNKE: MTANZANIA AMBAYE DUNIA ILIMTAMBUA, LAKINI NCHI YAKE IKAMSAHAU
›
Mohamed Matope Ilikuwa ni video ya harusi iliyonipeleka kwenye story ya maisha ambayo sikuitarajia kabisa. Jumamosi nilitumiwa video za she...
Wednesday, August 12, 2026
RAIS MWINYI ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MALIASILI KWENYE TAMASHA LA KIZIMKAZI
›
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Rais wa Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ambaye ni mgeni rasmi katika ufunguzi wa Tamasha la Kizimkazi...
Tuesday, August 11, 2026
LEONARD RWIZANDEKWE VS MWL. JULIUS NYERERE URAIS NDANI YA TANU
›
Mzee Leonard Rwizandekwe aliwashangaza watanzania mwaka 1965 kwa kukiomba chama cha TANU kimpendekeza kwa wananchi awe mgombea pekee wa urai...
Monday, August 10, 2026
MUHIMBILI YAWEKA HISTORIA, YAFANIKISHA UPASUAJI WA KWANZA WA KUTENGANISHA MAPACHA WALIOUNGANA AINA YA PARASITIC CONJOINED TWINS
›
Madaktari bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo, Agosti 10, 2026, wamefanikiwa kufanya upasuaji wa kwanza wa kutenganisha map...
›
RAIS DKT. MWINYI: KAMERA ZA USALAMA BARABARANI KUDHIBITI AJALI ZANZIBAR Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. ...
Thursday, August 6, 2026
TFS YAANDIKA HISTORIA KWA KUSHIRIKI MAONESHO YA KILIMO ZANZIBAR KWA MARA YA KWANZA, YAPOKELEWA KWA KISHINDO
›
Na Mwandishi Wetu, Dole Kizimbani, Zanzibar WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umeandika historia kwa kushiriki kwa mara ya kwanza...
UONI HAFIFU WAONGOZA CHANGAMOTO KWA WANAOPIMA MACHO BANDA LA MUHIMBILI NANE NANE
›
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imesema tatizo la uoni hafifu linaongoza miongoni mwa changamoto zinazobainika kwa wananchi wanaofika kup...
Wednesday, August 5, 2026
NCAA, BODI YA MIKOPO WAPELEKA TABASAMU JIPYA KWA WANAFUNZI KUTOKA HIFADHI YA NGORONGORO
›
Serikali kupitia Mamlaka ya hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) kwa kushirikiana na Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB), im...
NAIBU WAZIRI AVUTIWA NA TEKNOLOJIA YA DRONE KATIKA UHIFADHI WA MISITU
›
Na Mwandishi Wetu, Lindi LINDI: Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Kaspar K. Mmuya, ametembelea banda la Wakala wa Hudu...
TANZANIA YAITAKA DUNIA KUONGEZA NGUVU KULINDA BIOANUWAI
›
NAIROBI: Tanzania imezitaka nchi duniani kuimarisha ushirikiano, kuongeza fedha na kuharakisha uhamishaji wa teknolojia ili kufanikisha Muu...
Sunday, August 2, 2026
KATIBU MKUU WA BARAZA LA MAWAZIRI ZAMBIA APONGEZA HUDUMA ZA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA
›
Diplomasia ya kiuchumi na sekta ya utalii wa matibabu (Medical Tourism) katika ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC) umezidi kuimarika. Hii n...
›
Home
View web version