Monday, August 9, 2010

Ughaibuni usipolipa pango

Usipo lipa pango ughaibuni,hatima yako hua ngumu sana,vitu vyako hutupwa nje,na kama upo kazini wapita njia hujichagulia chochote wanachotaka 

1 comment:

  1. wasaidie dada zetu wasitolewe vyombo vyao, mzee chuma ulete

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake