Tuesday, January 11, 2011

Wachina Weusi

kuna wadau wamejaribu kuwatambua hawa ni wakina nani lakini bado hajakamilisha majina yote mawili kwahiyo narudia tena hawa ni wakina nani kwa mdau atakaepatia majina kamili ya watu hawa atajizolea $50 CASH

3 comments:

  1. Luke mimi najaribu,mwenye shati la mistaristari ni Yakob Kinyemi na kaka huyo mwingine ni-Juma Issa.Naiwania hiyo $50,au hata $25 nikipatia nusu,lol.

    Zaydullah.

    ReplyDelete
  2. Huyo ni yakob kinyemi na Mohamed mussa.
    D.yoo.

    ReplyDelete
  3. huyo si namiambiee na juma issa

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake