Monday, March 14, 2011

Image
Mkazi wa Dar es Salaam akipita jirani na majitaka yanayotoka kwenye vyoo jirani na nyumba za polisi, Msimbazi, Kariakoo jijini humo.(Picha na Robert Okanda).

1 comment:

  1. Kwa kweli nchi yetu ni ya uzembe kweli hii sehemu toka miaka ya themanini ilikuwa inavuja hayo maji machafu na nakumbuka ikinyesha mvua hiyo sehemu inakuwa na mafuriko ya ajabu na maji yake yanatoa harufu ile mbaya kwa kweli sijui wakazi wa hapo wanaishije na harufu kama hiyo.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake