Kushoto ni Mama Zam Zam mama mzazi wa Mina akiwa kwenye Arobaini ya Mwanae iliyofanyikia Clesville,Maryland,Nchini Marekani Jumamosi October 29,2011 na picha kulia ni Joyce na Aunt Wahida wakiongea jambo
Mwambata wetu wa Jeshi Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani Brigedia Jenerali Maganga akitoa salamu za Mh.Balozi Mwanaidi Maajar ambae hakuweza kufika kutokana na ugeni wa makamu wa Rais ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ambae amefika leo hapa Marekani mjini Washington,DC.
Kushoto ni Mama Zam Zam mama ya Mina
Watanzania waliojumuika pamoja kwenye kisomo cha arobaini ya Mina
Miongoni mwa akina mama waliofika leo kwenye kisomo cha Mina
Watu waloijumuika pamoja kwenye kisomo cha arobaini ya Mina
Wakina mama nao kutoka kila pembe walifika kwenye arobaini hiyo
Wakina baba nao walikuwepo
Watanzania waishio Marekani wakijumuika pamoja kwenye kisomo cha arobaini ya Mina
Kutoka shoto ni Kessy Janbi,Mwambata wetu Brigedia Jenerali Maganga na MC
Wakina mama na watoto nao walikua miongoni mwa Watanzania waliohudhulia kisomo cha arobaini ya Mina
Ni wakati wa Maakuli kwa akina baba
Ni wakati wa Maakuli kwa akina mama.
Kwa picha zaidi Bofya Read More
Luka uko sharp sana kuweka picha, I like that !! keep it up !!
ReplyDeleteR.I.P Minah !!
very sharp hata mimi nakubali. RIP Minah
ReplyDeletembona watu wachache, kwani waandaaji wakina nani..lol
ReplyDeleteRIP Minah