Kushoto ni Nape Moses Nnauye,Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi(Ideology and Publicity Secretary) akiwa pamoja na Sixtus Raphael Mapunda,Katibu msaidizi mkuu Itikadi na Uenezi(Principal Assistant Secretary) ambao wamekuja mahususi kwa shughuli za Chama hapa Washington,DC Nchini Marekani.
Mpwa akipata Ukodak Moment na Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi,Nape Moses Nnauye
ok sawa kaka nnaona wote nnawaka ila.....sasa mbona blog yako huja sema kama amekuja kichama/ziara/matembezi au???just curious to know....... (meya seattle wa)marehemu baba yake alikua msikaji wangu sana isee........m/mungu amlaze pema ameena.
ReplyDelete