Jumuiya ya WaTanzania New York na
Dinner ya Nape Nnauye
Uongozi wa Jumuiya ya WaTanzania waishio New York na vitongoji vyake unasikitika kukanusha na kuhusika na tangazo lilitolewa juu ya Dinner na katibu mwenezi wa CCM,Bwana Nape Nnauye.Uongozi utaendelea kuilinda katiba ya Jumuiya ambayo inaeleza wazi kuwa haitojihusisha na shughuli za kisiasa. Tunawaomba radhi wale wote walioathirika na tangazo lile ambalo halikutoka kwetu.
Uongozi
New York Tanzanian Comm.

2 comments:
"as if we have too much time in our hands" please.
Big up sana,sasa huo ndio uzalendo na kuelimika. Hii ni USA sio bongo hapa.
Post a Comment