ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, November 2, 2011

Marekebisho

Jumuiya ya WaTanzania New York na
        Dinner ya Nape Nnauye

Uongozi wa Jumuiya ya WaTanzania waishio New York na vitongoji vyake unasikitika kukanusha na kuhusika na  tangazo lilitolewa juu ya Dinner na katibu mwenezi  wa CCM,Bwana Nape Nnauye.Uongozi utaendelea kuilinda katiba ya Jumuiya ambayo inaeleza wazi kuwa haitojihusisha na shughuli za kisiasa. Tunawaomba radhi wale wote walioathirika na tangazo lile ambalo halikutoka kwetu.

Uongozi
New York Tanzanian Comm.

2 comments:

Anonymous said...

"as if we have too much time in our hands" please.

Anonymous said...

Big up sana,sasa huo ndio uzalendo na kuelimika. Hii ni USA sio bongo hapa.